Posts

Showing posts from March, 2025
  UTAWALA WA MIAKA 1000. Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze maandiko matakatifu, kama Biblia inavyosema katika  Zaburi 119:105  “ Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. ”..Ikiwa na maana Neno la Mungu ni mwongozo wetu, tukilijua Neno la Mungu hata tukikosa vitu vingine vyote bado tutaishi.Amen.